MAYELE KUAGWA SIKU YA MWANANCHI


Timu ya Wananchi Yanga imekubali ofa Kutoka Klabu ya Pyramids Fc Kutoka nchini Misri kwa wajili ya mshambuliaji Fiston kalala Mayele.


-Yanga na Pyramids Fc wamekamilisha mazungumzo ya ada ya usajili rasmi,Hivyo mara tu baada ya sherehe ya siku ya mwananchi Fiston kalala Mayele ataanza safari ya kwenda nchini Misri kukamilisha usajili wake ndani ya klabu yake mpya ya Pyramids Fc.

-Baada ya kuuzwa Pyramids 🇪🇬 Fiston Kalala Mayele 🇨🇩 tutamuona tena kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika ✍️ baada ya Pyramids 🇪🇬 kumaliza nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi kuu Misri

Post a Comment

0 Comments