SILLAH KUTOKA RAJA CASABLANCA AMWAGA WINO AZAM FC

 


Kiungo mshambuliaji, Gibril Sillah 'Sillah the Killer' amekamilisha taratibu za kujiunga na Azam FC baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili akitokea Raja Casablanca.

Sillah (24) raia wa Gambia anakuwa mchezaji wa pili kusajiliwa na Waoka Mikate hao baada ya kunasa saini ya kiungo mshambuliaji mwingine Faisal Salum ‘Feitoto’ Tanzania Finest!.

Post a Comment

0 Comments