WYDAD WAMALIZA MSIMU BILA KOMBE


 

Baada ya kupokea kichapo cha (0-1) kutoka kwa watani wao Raja AC katika Nusu Fainali ya Kombe la Throne Cup jana usiku, ni rasmi timu ya Wydad AC inayonolewa na Sven Vandebroek wamemaliza msimu wa 2022/23 bila kutwaa Ubingwa wa aina yoyote🙌🏾.


❌🔹Wameukosa Ubingwa wa Morocco ambao ulikwenda FAR Rabaat.
❌🔹Wamepoteza Kombe la #CAFCL baada ya kupokea kichapo dhidi ya Al Ahly katika mchezo wa Fainali.
🆕🔹Jana wametolewa katika hatua ya Nusu Fainali ya Throne Cup na Raja AC.

Wanetu nao wamekufa kiume

Post a Comment

0 Comments